Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Balad — Ayah 3

90:3
وَوَالِدٖ وَمَا وَلَدَ ٣
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.1
Footnotes
  • [1] Na naapa kwa mzazi na anacho kizaa, na kwa hao wawili ndio jinsi inahifadhika na maendeleo yanabakia.