Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Balad — Ayah 6

90:6
يَقُولُ أَهۡلَكۡتُ مَالٗا لُّبَدًا ٦
Anasema: Nimeteketeza chungu ya mali.1
Footnotes
  • [1] Anasema: Nimetumia katika kupambana na Muhammad s.a.w. na kuupinga wito wake mali mengi ukiyakusanya pamoja.