Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Shams — Ayah 1

91:1
وَٱلشَّمۡسِ وَضُحَىٰهَا ١
Naapa kwa jua na mwangaza wake!1
Footnotes
  • [1] Naapa kwa jua na mwangaza wake na kuchomoza kwake na kwa joto lake!