Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Shams — Ayah 11

91:11
كَذَّبَتۡ ثَمُودُ بِطَغۡوَىٰهَآ ١١
Kina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao,1
Footnotes
  • [1] Kina Thamudi walimkanusha Nabii wao kwa upotovu wao na jeuri zao,