Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Layl — Ayah 12

92:12
إِنَّ عَلَيۡنَا لَلۡهُدَىٰ ١٢
Hakika ni juu yetu kuonyesha uwongofu.1
Footnotes
  • [1] Hakika ni juu yetu, Sisi, kwa kufuatana na hikima yetu, ndio tuwabainishie viumbe njia ya uwongofu.