Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Layl — Ayah 21

92:21
وَلَسَوۡفَ يَرۡضَىٰ ٢١
Naye atakuja ridhika!1
Footnotes
  • [1] Na bila ya shaka atakuja pata kutoka kwa Mola wake Mlezi anacho kitaka kwa njia za ukamilifu kabisa, hata itimie radhi kwake.