Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Layl — Ayah 4

92:4
إِنَّ سَعۡيَكُمۡ لَشَتَّىٰ ٤
Hakika juhudi zenu bila ya shaka ni mbali mbali.1
Footnotes
  • [1] Hakika juhudi zenu bila ya shaka zimekhitalifiana; kwani wapo wenye kubahatika katika juhudi zao, na wako wasio bahatika.