Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Layl — Ayah 7

92:7
فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡيُسۡرَىٰ ٧
Tutamsahilishia yawe mepesi.1
Footnotes
  • [1] Basi Sisi tutamtengenezea awe katika khulka ya wepesi na raha kwa kumwongoza kwenye njia ya kheri.