Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ad-Duhaa — Ayah 4

93:4
وَلَلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٞ لَّكَ مِنَ ٱلۡأُولَىٰ ٤
Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia.1
Footnotes
  • [1] Na matokeo ya mambo yako, mwisho wake, yatakuwa bora kuliko mwanzo wake.