Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Sharh — Ayah 5

94:5
فَإِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرًا ٥
Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi!1
Footnotes
  • [1] Hizo ni baadhi ya neema zetu juu yako. Basi kuwa na yakini na uweza wa Mwenyezi Mtukufu, kwani pamoja na uzito upo wepesi mwingi unao kuja nao.