Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Sharh — Ayah 7

94:7
فَإِذَا فَرَغۡتَ فَٱنصَبۡ ٧
Na ukipata faragha, fanya juhudi.1
Footnotes
  • [1] Basi ukipata nafasi katika kazi ya kuwalingania watu, na mambo yaliyo khusiana na Jihadi, endelea na jitihada ya ibada na jishughulishe nafsi yako katika hayo.