Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tin — Ayah 3

95:3
وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ ٣
Na kwa mji huu wenye amani!1
Footnotes
  • [1] Na kwa huu mji mtukufu wa Makka, ambao anaushuhudia utukufu wake mwenye kwenda uzuru, na anapata amani mwenye kuuingia.