Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-'Alaq — Ayah 4

96:4
ٱلَّذِي عَلَّمَ بِٱلۡقَلَمِ ٤
Ambaye amefundisha kwa kalamu.1
Footnotes
  • [1] Yeye ndiye ambaye aliye mfunza mtu kuandika kwa kalamu, na wala kwanza hakuwa anajua hayo.