Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Az-Zalzalah — Ayah 3

99:3
وَقَالَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا لَهَا ٣
Na mtu akasema: Ina nini?1
Footnotes
  • [1] Na binaadamu akasema kwa kushtuka na khofu: Ardhi hii ina nini hata inatikisika hivi, na inatoa vilivyomo tumboni mwake, ndio Saa imefika?