Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Az-Zalzalah — Ayah 5

99:5
بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا ٥
Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!1
Footnotes
  • [1] Kwani Mlezi wake na Muumba wake atakuwa kaifunulia, kaipa Wahyi, na kaiamuru itetemeke na ijisuke suke, ndio ikafanya upesi kutekeleza amri.