A translation of every ayah of the Quran in Swahili.
Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qari'ah — Ayah 11
101:11
نَارٌ حَامِيَةُۢ ١١
Ni Moto mkali!1
Footnotes
-
[1]
Moto ulio mkali, hapana moto unao fikilia ukali wake, hata ukichochewa vipi na kutiwa kuni gani!