Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takathur — Ayah 1

102:1
أَلۡهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ ١
Kumekushughulisheni kutafuta wingi,1
Footnotes
  • [1] Yamekushughulisheni mkaacha kutimiza yaliyo waajibu na ya ut'iifu kule kujitapa kwenu kwa wana na wafwasi, na kujifakhiri kwa mali, na hisabu, na nasaba, mpaka yakusibuni mauti!