Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qari'ah — Ayah 6

101:6
فَأَمَّا مَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ ٦
Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,1
Footnotes
  • [1] Ama yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, mema yake yakapindukia kuliko maovu yake,