Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qari'ah — Ayah 7

101:7
فَهُوَ فِي عِيشَةٖ رَّاضِيَةٖ ٧
Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.1
Footnotes
  • [1] Basi huyo atakuwa na maisha yatayo mridhisha mwenyewe, na nafsi yake itue.