Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 5

51:5
إِنَّمَا تُوعَدُونَ لَصَادِقٞ ٥
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka ni kweli!1
Footnotes
  • [1] Hakika hayo mnayo ahidiwa, nayo ya kufufuliwa na mengineyo, ni hakika ya kweli itakayo tokea.