Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 6

51:6
وَإِنَّ ٱلدِّينَ لَوَٰقِعٞ ٦
Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea.1
Footnotes
  • [1] Na kwamba kwa yakini malipo kwa vitendo vyenu yatakuwa tu hapana hivi wala hivi.