Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 8

51:8
إِنَّكُمۡ لَفِي قَوۡلٖ مُّخۡتَلِفٖ ٨
Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.1
Footnotes
  • [1] Kwamba nyinyi msemapo mnayo yasema ni maneno ya kugongana.