Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 9

51:9
يُؤۡفَكُ عَنۡهُ مَنۡ أُفِكَ ٩
Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa.1
Footnotes
  • [1] Huacha kuamini hiyo ahadi ya kweli na malipo yatakayo kuwa huyo anaye acha, kwa sababu amekhiari kufuata pumbao la nafsi yake kuliko akili yake.