Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 10

56:10
وَٱلسَّٰبِقُونَ ٱلسَّٰبِقُونَ ١٠
Na wa mbele watakuwa mbele.1
Footnotes
  • [1] Na walio tangulia mbele katika mambo ya kheri duniani ndio watakuwa mbele katika vyeo vya Akhera.