Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 9

56:9
وَأَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ مَآ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ ٩
Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?1
Footnotes
  • [1] Na watu wa kushotoni, hao ni watu wa cheo duni, uovu ulioje wa hali yao!