Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 23

56:23
كَأَمۡثَٰلِ ٱللُّؤۡلُوِٕ ٱلۡمَكۡنُونِ ٢٣
Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa.1
Footnotes
  • [1] Kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa katika chaza, kwa usafi wao na urembo wao.