Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 24

56:24
جَزَآءَۢ بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ٢٤
Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda.1
Footnotes
  • [1] Watapewa haya kuwa ni malipo kwa mambo mema waliyo kuwa wakiyatenda duniani.