Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 41

56:41
وَأَصۡحَٰبُ ٱلشِّمَالِ مَآ أَصۡحَٰبُ ٱلشِّمَالِ ٤١
Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni?1
Footnotes
  • [1] Na watu wa kushoto, hapana anaye jua nini adhabu ya watu wa kushoto.