Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 42

56:42
فِي سَمُومٖ وَحَمِيمٖ ٤٢
Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka,1
Footnotes
  • [1] Watakuwa kwenye upepo umoto utakao wazunguka, unao penya katika tundu za mwili, na maji yaliyo chemshwa motoni wayanywe na wamiminiwe vichwani,