Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qalam — Ayah 34

68:34
إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ عِندَ رَبِّهِمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ ٣٤
Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi.1
Footnotes
  • [1] Hakika wachamngu watapata kwa Mola wao Mlezi Bustani za neema safi.