Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qalam — Ayah 35

68:35
أَفَنَجۡعَلُ ٱلۡمُسۡلِمِينَ كَٱلۡمُجۡرِمِينَ ٣٥
Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu?1
Footnotes
  • [1] Je! Sisi tudhulumu katika hukumu yetu, tuwafanye Waislamu sawa na makafiri?