Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 16

84:16
فَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلشَّفَقِ ١٦
Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa,1
Footnotes
  • [1] Basi naapa kiapo cha mkazo kwa wekundu wa mbingu baada ya kuchwa jua!