Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 17

84:17
وَٱلَّيۡلِ وَمَا وَسَقَ ١٧
Na kwa usiku na unavyo vikusanya,1
Footnotes
  • [1] Na kwa usiku na unavyo vikusanya vyote katika giza lake, wanaadamu, wanyama na vyenginevyo!