Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 4

84:4
وَأَلۡقَتۡ مَا فِيهَا وَتَخَلَّتۡ ٤
Na kuvitoa vilivyo kuwa ndani yake, ikawa tupu!1
Footnotes
  • [1] Na ardhi ikatoa nje maiti na khazina ziliyo kuwamo ndani yake, na ikaachana navyo vyote hivyo,