Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 5

84:5
وَأَذِنَتۡ لِرَبِّهَا وَحُقَّتۡ ٥
Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza!1
Footnotes
  • [1] Na ikamwelekea Mola wake Mlezi kwa kuzidi kutanuka kwake na kutoa vilio kuwemo ndani yake na kuachana navyo, na hayo ni haki yake kuwa. Yakitokea yote hayo yaliyo tangulia kusimuliwa basi kila mtu atapata malipo ya vitendo vyake.