Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Shams — Ayah 5

91:5
وَٱلسَّمَآءِ وَمَا بَنَىٰهَا ٥
Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga!1
Footnotes
  • [1] Na kwa mbingu na kwa Mweza Mtukufu aliye inyanyua na akaijenga kwa hikima yake.