Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Shams — Ayah 6

91:6
وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا طَحَىٰهَا ٦
Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza!1
Footnotes
  • [1] Na kwa ardhi na kwa Mweza Mtukufu aliye ikunjua kwa kila upande, na akaitengeneza kwa ajili ya utulivu, na akaifanya kama tandiko.