Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Sharh — Ayah 1

94:1
أَلَمۡ نَشۡرَحۡ لَكَ صَدۡرَكَ ١
Hatukukunjulia kifua chako?1
Footnotes
  • [1] Hakika tumekukunjulia kifua chako kwa kuwa tulitia ndani yake Uwongofu na Imani.