Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Ash-Sharh — Ayah 2

94:2
وَوَضَعۡنَا عَنكَ وِزۡرَكَ ٢
Na tukakuondolea mzigo wako!1
Footnotes
  • [1] Na tumekupunguzia mizigo iliyo kuwa mizito juu ya mgongo wako, kwa kukuunga mkono na kukusahilishia mambo yako,